Wednesday, March 26, 2008

Wanted..


Baada ya Majeshi ya Africa Union(AU) yakiongozwa na la kwetu(JWTZ) kukomboa kisiwa cha anjouan na kiwanja cha ndege cha wani, habari zaidi zinasema hivi sasa majeshi hayo yanamsaka kwa udi na uvumba kiongozi mkuu wa waasi Col Mohamed Bacar pichani ambaye inasemekana hajaonekana katika kisiwa hicho kwa siku tatu sasa. tutaendelea kuwapasha habari zaidi..

No comments: