Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni Mchungaji mmoja kaibuka mkoani Mara na kuwataka waumini wake kuuza mali zao pamoja na wanafunzi kuacha kwenda shule ili wajiandae kumpokea Yesu atakayekuja mwezi ujao huo wa nne. Na hii ni habari ya kweli na imetokea mkoa wa mara na pia kwa sasa kanisa hilo limefungwa kutokana na missingi walionayo.
No comments:
Post a Comment