Monday, March 31, 2008

MSAFIRI KAFIRI !!


Jamani mimi nashindwa kuelewa ndugu zetu wa Mbagala, Dar es Salaam yaani wamezoea kugombea mabasi hata wakiwa watatu kituoni watapitia dirishani. mazoea haya yamewafanya hata kwenye lift wanagombea kuingia.

No comments: