Thursday, March 27, 2008

Bongo jana ilikuwa hamna pakukanyaga !!!






Jamani majengo yanajengwa ila maji taka pakupita hakuna ndio haya yaliyojiri jana mvua ilivyo nyesha sasa hapa wale wakazi wa Tabata Dampo ambao walivunjiwa nyumba zao jana walipona kweli na mafuriko haya kweli !!

No comments: