Sifa za hiyo simu ni kama zifuatazo na haya maneno sio yangu bali ni ya mdau alionitumia kumtafutia wateja katika blog yetu inayokuwa kwa kasi ya ajabu kama moto ule uliounguza jengo la ushirika pale town anaanza kwa kusema mdau KANOKIA KANGU,KAKO NA CAMERA,2MEGA PIXEL,MEMORY CARD,BLUE TOOTH, @ 20,000/=
No comments:
Post a Comment