Saturday, March 29, 2008

Kumbukumbu Ya Kifo Cha Moshi William TX


Leo ni siku ya kumbukumbu ya kifo cha mwanamuziki wa msondo ngoma ambaye ambaye alikuwa mtunzi mahiri wa nyimbo na mwimbaji maarufu wa msondo ngoma tx moshi william. Redio Ebony FM ya hapa Iringa itafanya kipindi maalum leo kumkumbuka . Ni miaka miwili sasa tangu afariki tarehe 29 March 2006.

No comments: