Tuesday, March 18, 2008

NAOMBA MSAADA MKUU JAPO MLINZI MMOJA WA KARIBU !!


Mkurugenzi Mtendaji wa gazeti la Mwanahalisi, Saed Kubenea akiteta jambo na Mkuu wa Jeshi la polisi, IGP, Said Mwema jana. Sijui alikuwa anaomba msaada wa ulinzi asimwagiwe tindikali tena? ama alikuwa anataja mafisadi?

No comments: