Saturday, March 29, 2008

MATOKEO YA MVUA SASA


Wakazi wa mabibo Dar es Salaam wakikatisha katika daraja lililoshushwa na mvua za juzi mbali na uharibifu majumbani miundombinu nayo haikupona.Watu watano wamefariki dunia, wakiwemo wanne waliofariki kutokana na mvua kubwa iliyonyesha juzi jijini Dar es Salaam.

Wakati mvua hiyo ikuua, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa tahadhari kuwa mvua za masika zilizoanza huenda zikaleta madhara zaidi kwa wananchi wanaoishi mabondeni.

Watoto wa watu waliovunjiwa nyumba zao Tabata dampo wakichota amaji ya mvua, sijui ni kutokana na uhaba wa maji ama mchezo tu!

No comments: