Wednesday, March 26, 2008

Pole sana Nyaulawa !!

Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein na Mama Mwanamwema Shein wamfariji Mbunge wa Mbeya Vijijini Mheshimiwa Richard Nyaulawa ambaye amelazwa katika Hospitali ya Indraprastha Apollo kwa matibabu ya kansa ya utumbo wakati Dk Shein alipotembelea hospitalini hapo leo kuona huduma mbalimbali zinazotolewa hapo. Blog hii inaungana na Watanzania wote kukutakia afya njema na Mungu akupe baraka zake upone.

No comments: