Saturday, March 29, 2008

Yvone Chaka Chaka atua bongo


Mwanamuziki nyota kutoka nchini Afrika Kusini Yvone Chaka Chaka ambaye kwa sasa ameokoka ametua leo mchana jijini dar kwa ajili ya uzinduzi wa albamu mpya ya kundi la New Kitim tim inayaoitwa vita hii yatoka wapi utakaofanyika kwenye ukumbi wa diamond jubilee kesho mchana.Pichani ni Yvone Chaka Chaka akifanya mahojiano na mtangazaji wa televisheni ya Taifa (TBC) mara baada ya kutua uwanja wa ndege wa JK leo mchana

No comments: