Thursday, March 27, 2008

HAKI NA USAWA KWA WANAFUNZI !!



Mwanafunzi wa shule ya Sekondari ya Msalato Dodoma akiwa ananyanyaswa na Konda wa daladala akitakiwa alipe nauli ya Sh400 ya mtu mzima! Unayanyasaji huu nilifikiri uko Dar tu!

No comments: