Tuesday, March 25, 2008

Bongo star search wachangia damu !!



Wale washiriki wa Bongo star search wachangia damu mnazi mmoja jijini Dar es salaam. Haya kuna mtu atapata damu ya mshindi wetu wa safari hii ambaye mshindi wa safari hiii atajinyakulia kiasi cha dola za kimarekani 15000$ cash.

No comments: