Monday, September 8, 2008

wadau wa khartoum
JK akiwa na wadau wanaopiga buku hapa khartoum. shoto ni mdau hashim fadhili ambaye ni kaimu rais wa madenti wa bongo wanaoska nondozzz sudan na kuume ni seif maulid waziri wa habari an michezo chuo kikuu cha sudan international university. hapa ni katika hoteli ya pullman. JK kaondoka leo kurejea bongo

No comments: