Wednesday, September 10, 2008

UNYAMA GANI HUU

Niliposema kutoa mimba unyama ni kama hivi afadhari mtu usijihusishe na mahusiano au tumia kinga sasa katoto kamefanywa kiweo cha nzi!!!!? Sijui tunakwendawapi? Samahani kwa picha hii.

No comments: