Ripoti ya EPA Haitaonekana
Hadharani-Utouh
Pichani ni Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bw Ludovick Utouh
-------
Nia ya kamati Bunge ya Mashirika ya Umma,chini ya Uenyekiti wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini(Chadema),Bw.Zitto Kabwe wa kutaka kuona na kujadili ripoti ya uchunguzi wa ufisadi wa Sh bilioni 133 katika Akaunti ya Madeni ya Nje(EPA)ya Benki Kuu ya Tanzania(BoT)yameyeyuka kabisa baada ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG),Ludovick Utouh,kusema kwamba hakuna uwezekano wa kutoa ripoti hiyo.Bofya na Endelea Hapa....>>>>
No comments:
Post a Comment