Nchimbi: " UV-CCM IMEJAA WENDAWAZIMU!"

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana anayemaliza muda wake Bw. Emmanuel Nchimbi amenukuliwa na gazeti la Tanzania Daima leo akitamka kauli hiyo. Naam. Labda nyongeza yangu kwa Mh. Nchimbi ni kumkumbusha, kuwa ujana ni nusu ya uwendawazimu! (Asante Maggid kwa ujumbe na picha)
No comments:
Post a Comment