Wednesday, September 3, 2008

Mwana wa Tanzania....
Maisha ya Watoto wetu wa kitanzania kwa kiasi kikubwa yamegubikwa na mitihani mingi,na ili kuishinda inabidi kutumia jitihada kubwa hebu cheki mtoto huyu amejitwika mzigo wa kuni,hivi mustakabali wa mtoto huyu na wengine wengi ukoje iwapo baadhi ya wazee wetu wanaendelea kukoboa maliasili zetu zote kwa manufaa yao binafsi jamani tuisaidie Tanzania.

No comments: