Friday, October 10, 2008

TARIME SASA ANGA KWA ANGA

Helkopta inayotumiwa na CCM ikiwa angani jana kuendeleza kampeni. Wanasema wanaongeza mbili ili kumaliza kazi kesho.
kama kawaida Chopper la Chadema lilikuwepo kwa jili ya kuliokoa jimbo la tarime.

No comments: