sijui ni uzembe wa madereva ama la !
Hii bara bara ya Dar Arusha kusema kweli hailali na njaa sijui kwanini,ama ni uzembe tu wa madereva wenyewe wawapo barabarani,yaaki kila ukiipita njia huwezi kukosa kuona magari zaidi ya matano yako chali,hili tumekutana nalo jana wakati washikaji wakienda Arusha.Madereva wanapasa kuwaa makini na waangalifu mno kwenye barabara hii
No comments:
Post a Comment