Friday, October 24, 2008

WAZIRI MKUU NA NGOMA YA KICHAGA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (kushoto) wakifurahia ngoma ya asili ya Wachaga ya Mtingo wakati walipowasili katika kijiji cha Mbokomu wilayani Moshi Vijijini Wakiwa katika ziara ya mkoa wa Kilimanjaro , October 23,2008. Kulia kwa Waziri Mkuu ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mohamed Babu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: