Monday, October 20, 2008

Mtoto Albino....
Huwa inaniuma sana ukatili unaofanywa na wabongo,imagine katoto kazuri kama haka kenye furaha hakajui watu wanavyotafuta maalbino kwa ajili ya ushenzi wao.Kikubwa nilichogundua ni kuwa albino si lazima azaliwe na albino,mcheki mama yake!
Mdau
Mpoki Bukuku.

No comments: