Tuesday, October 28, 2008

Wallahi Radhim!

Huyu mtoto Ben ni wa kumvunja miguu! Juzi katuharibia rekodi yetu. Pichani ni mshambuliaji Ben Mwalala wa Yanga akifunga bao maridadi kwa timu yake ya Yanga.

No comments: