Saturday, October 18, 2008

Mama Membe Ashiriki Mbio
Za Wanawake...
Mke wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mama Dorkas Membe (wa pili kulia),akisalimiana na Ofisa Uhusiano wa Tigo, Jackson Mmbando(kushoto),wakati wa uzinduzi rasmi wa mbio za kinamama Taifa zijulikanazo kwa jina la mzizima 21km women races zilizodhamniwa na Tigo kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam juzi.Wa pili kushoto ni Makamu Mwenyikiti wa Chama cha Riadha Dar es Salaam(DAA),Catherina Ikangaa.
Mke wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mama Dorkas Membe(wa pili kulia),Mbunge wa Viti Maalumu(CCM)Lucy Mayenga(kulia kwa mama Membe),Makamu Mwenyikiti wa Chama cha Riadha Dar es Salaam(DAA),Catherina Ikangaa(kushoto)na Ofisa Uhusiano wa Tigo,Jackson Mmbando(kulia),wakianza mbio kuashiria uzinduzi rasmi wa mbio za kinamama Taifa zijulikanazo kwa jina la mzizima 21km women races uliodhaminiwa na Tigo kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam juzi.

No comments: