Tuesday, October 21, 2008

libeneke juu ya kamba
Msanii chipukizi kutoka kijiji cha Itaka,wilaya ya Mbarali moani Mbeya,Huruma William Mgalla mwenyew umri wa miaka 20,akitembea juu ya kamba iliyo kuubaurudisha umati wa watu uliohudhuria mkutano wa hadhara uliohutubiwa na JK wakati wa ziara yake ya Mbeya

No comments: