alikuwa mtu simpo sana mwili wake ulipowasili na kupokelewa dar na kupewa heshima za mwisho neshno GLOBU YA INAWEZEKANA INAUNGANA NA WADAU WOTE ULIMWENGUNI KUIKUMBUKA SIKU HII AMBAYO BABA WA TAIFA LA TANZANIA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE ALITUTOKA GHAFLA NA KUTUACHIA MAJONZI YASIYOKWISHA.
MDAU UNAKARIBISHWA KUCHANGIA MAONI YAKO KWA JINSI UNAVYOMKUBUKA BABA WA TAIFA KATIKA KUADHIMISHA SIKU HII ASANTE YA PICHA NA KAKA MICHUZI.
No comments:
Post a Comment