Tuesday, October 21, 2008

Mdau anatowa salamu !!!

Huyo hapo kushoto ni brother wangu anaitwa Milimba hamisi, alikuwa Singapore akichukua masters ya Navigation, ni captain wa meli sasa, na katika hiyo picha alikuwa katika mafunzo ya simulator Bridge kama upo melini ni sharti uvae white shirt suruali nyeusi na viatu vyeusi,
Kazi kwako sasani
mimi dada yako Amina!!


No comments: