Tuesday, October 21, 2008

rais wa botswana awasili kwa ziara ya siku mbili
JK akimakaribisha Rais Seretse Khama Ian Khama wa Botswana mara tu alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro kwa ziara ya kikazi ya siku mbili
Mtoto Sara Elias akimkaribisha kwa maua Rais Seretse Khama Ian Khama muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro kwa ziara ya kikazi ya siku mbili
JK akiwatambulisha baadhi ya mawaziri wake kwa mgeni wake Rais Seretse Khama Ian Khama muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro.

No comments: