Friday, October 24, 2008

watani wa jadi walipomeremeta enzi hizo
Sasa hii itakuwaje jumapili ?
mwenyekiti wa yanga mangara tabu mangara akipokea kombe la ubingwa toka kwa kocha tambwe leya enzi hizo
neshno jipya ambapo jumapili hii yanga na simba watakipiga. nani kuibuka kidedea?
mh. joseph mungai akimkabidhi nahodha wa simba haidery abeid muchacho kombe la ubingwa

No comments: