wanaume halisi kunafuka moshi mweusi ?

Wadau kuna tetesi zinazoendelea za chini chini kwamba kundi la Wanaume Halisi ambalo linaongozwa na msanii Juma Nature "linafuka moshi mweusi".Hivyo kama kuna ukweli wowote ama la we tega hapa hapa jamvini tutabaini ukweli wa mambo.
No comments:
Post a Comment