Friday, October 24, 2008

JARIBIO LA KUMTEKA ALBINO LAKWAMA DAR…
Licha ya Serikali kukemea kuwafanyia vitendo viovu watu wenye ulemavu wa ngozi (maalbino) lakini hali imekuwa ni tofauti kwa mkazi wa jijini Dar es Salaam aliyetambulika kwa jina moja la Charanga (kulia) baada ya kunaswa na Kamera yetu hivi haribuni maeneo ya Manzese Tip Top akipokea kichapo kwa kudaiwa kutaka kumteka albino aliye kushoto kwa kisingizio kuwa alitaka kumpeleka Polisi jambo ambalo halikuweza kudhibikishwa mara moja. Inawezekana tunalaani na tunakemea vikali hali hiyo ya kinyama ambayo haistahili kuvumiliwa na yeyote katika jamii ya wastaarabu.

No comments: