Saturday, October 25, 2008

Ajali ya Tofali!

Kaka,
KADIDI.
Hayo ndo madhira yaliyomkuta mwenye hiyo VX. Alikuwa kaliegesha karibu na jengo la GOLDEN PLAZA pale mitaa ya Aggrey na Market. Tofali liliwaponyoka mafundi walio juu karibu ghorofa ya 7 na kutua moja kwa moja ndani ya gari hilo. Do hatari lakini salama ila jamani mnapopita karibu na haya majengo mchukue tahadhari na magari mnayopaki hapa mpakiji wa gari anamakosa na pia mafundi pia kwa wote kutochukua tahadhari asante mdau kwa picha hii mwanana !!

No comments: