Saturday, October 18, 2008

Hii Imekaaje Wadau?

Wadau nilikuwa nimejiuliza hii picha imechukuliwa ndani ya Soko la Samaki Ferry,na kama uonavyo picha watu wanakojoa sehemu ambayo sehemu hiyohiyo ndio pindi mnunuzi anapojitokeza na kununua samaki huwa anapelekwa kufanyia mtakatisho...sasa wadau hii imekaaje?

No comments: