Friday, October 17, 2008

vodacom tanzania yazindua huduma za blackberry
bosi wa masoko wa vodacom tanzania ephraim mafuru akielezea kuhusu kuanzishwa kwa huduma ya blackberry za bei poa za kampuni hiyo ambao imeuzindua usiku wa kuamkia leo hoteli ya moevenpick, dar
wadau wakijidai na blackberry zao mpya za voda
mafuru akiwaeleza bosi wa star tv samuel nyalla na bosi wa masoko wa tbl david minja kuhusu matumizi ya blackberry.

No comments: