Friday, October 24, 2008

TAARABU SIKU HIZI, MIDUME KIBAO MADEMU KIDUCHU...

Siku hizi si kama zamani ambapo kwenye matamsha ya muziki wa taarabu wanawake ndio walikuwa wengi lakini kwa sasa mambo ni tofauti kama ambavyo Kamera yetu ilivyofanikiwa kuinasa midume ikiwa imejazana kwenye onesho la Kundi la muziki huo liitwalo Jahazi Modern Taarabu ndani ya Ukumbi wa Hoteli ya Travertine jijini Dar es Salaam hivi karibuni huku mwanadada mmoja akionekana kuzongwa na midume hiyo iliyoonekana kuwa na uchu!.

No comments: