Saturday, October 25, 2008

fainali za rafda usiku huu
mshindi wa rafda 2008 saidi tambwe akiwa na modo wake aliyevaa vazi alilobuni katika fainali za redds africa designers awards (rafda) hoteli ya kempinski, dar


jaji mkuu, Sonwabile Ndamase (mwenye jaketi la kijani, ndiye mbunifu wa shati la mandela) akiwa na meneja wa redds george kavishe (kulia) na washindi wa rafda 2008
saidi tambwe na modo wake wakitamba baada ya kutangaziwa ushindi
mkongwe zahir ally zorro na mwanae banana pamoja na ismail wakitumbuiza kwenye onesho
meneja wa redds premium lager george kavishe (kulia) na majaji wa fainali hizo
modo wa kimasai, neshno, akionesha kivazi cha masoud wa kipanya
mshereheshaji joketi akiwa kazini
burudani ya ngoma za kitamaduni ilikuwepo









No comments: