wasanii wa bongofleva watinga tuzo za kisima awards


Wadau toeni sapot yenu ya kutosha kwa kumchagua Msanii Cassim (pichani kulia) ,kwani amechaguliwa kushiriki katika tuzo za kisima Awards zinazotarajiwa kufanyika nchini Kenya novemba 29 mwaka huu.
Ili kumpa ushindi msanii wetu Cassim utakaomuwezesha kuchukua tuzo ya wimbo bora kutoka Tanzania na singo yake ‘Haiwezekani’ ambayo ndio imeshiriki katika kinyang’nyiro hicho, unatakiwa kuandika namba 22B kisha unaituma kwenda kwenye namba 4142.
Kumchagua Cassim ni kutoa mchango kwenye sanaa ya Tanzania.
Mungu Ibariki Tanzania.
Mungu Ibariki Tanzania.
Mungua Ibarikia Afrika
No comments:
Post a Comment