Saturday, October 25, 2008

msaada tutani: kaseba unasakwa japani
Ndugu kadidi sisi wadau wa japan tunaomba msaada wa kumpata ndugu japhet kaseba ambaye tunapata taarifa kuwa yupo japan kwa muda sasa na anatarajia kupanda ulingoni novemba 4.
Nia hasa ni kumpa support ktk mpambano huu mgumu ambao tunaambiwa anatarajia kupambana na bingwa wa kick boxer japan ni kazi ngumu iliyombele yake ktk kuitangaza jina la nchi yetu.
Tupo watanzania wengi ambao tunahitaji kwenda kumshangilia kwa nguvu ili aibuke mshindi kwa hiyo tunaomba taarifa zake ili tuweze kumsaport ndugu yetu kaseba.
Tunaomba watu wa karibu wa kaseba JUMA,GERVAS mtupe msaada wa haraka novemba 4 si mbali tafadhali kadidi usitutupe kapuni e-mail dmwelijp@hotmail.com
mob.080-3532-4043

No comments: