Friday, October 17, 2008

orijino komedi
baada ya kuanza upya libeneke la kuvunja mbavu mitaa ya tbc one, kundi la orijino komedi kesho linaanza shoo za wazi kwa onesho moja matata sana kwa familia katika ukumbi wa diamond jubilee hall, wakishirikiana na bendi ya vibration sound na wasanii wengine kibao. kiingilio wametaja kuwa ni sh. 15,000 kwa vip, 10,000/- kawaida na 5,000/= kwa watoto. shoo inaanza saa tisa mchana

No comments: