Saturday, October 18, 2008

Hapo Kilichopinda Ni Barabara Au Daraja?

Au ni macho yangu yanayoshindwa kutofautisha kona na barabara kupinda kama si daraja pia. Naam. Ujenzi wa daraja la mto Ruvu umekamilika. Panapendeza na kutisha kidogo! Pichani ni leo jioni.

No comments: