Saturday, October 18, 2008

Ruvu Darajani


Juzi jioni. Kumalizika kwa ujenzi wa daraja kumefuta pia ajira za rafiki zangu, vijana ambao huniuzia bamia na nyanya chungu pale basi linaposubiri zamu ya kupita darajani enzi za daraja la zamani.

No comments: