Friday, October 17, 2008

Vijana jazz yatunga wimbo kupinga mauaji ya maalbino nchini



Mwenyekiti wa chama cha maalbino nchini Bw. Ernest Kimaya akionyesha picha ya mtoto Albino wa miezi saba anayedaiwa kuuwawa huko mkoani Mwanza, Bendi ya Vijana Jazz imetunga wimbo maalum wa kuhamasisha watu wote kupambana na mauaji ya Maalbino kwa imani za kishirikina unaoitwa mauaji ya Albino.Picha hiyo ilionyeshwa kwa waandishi wa habari katika ukumbi wa idara ya habari maelezo jijini Dar juzi.

No comments: