Thursday, October 23, 2008

mdau anataka kujua kuhusu freemasons

Kuna mdau kanitilia maguu, anataka kujua namna hawa watu wenye imani za Freemasons ni watu wa aina gani na wana mahusiano gani na freemasons,na freemasons ni nini na imani zao zikoje?je tunao hapa bongo ? je ni mtu yeyote tu anaweza akajiingiza katika imani hizo ?Kumradhi wadau kwa wale wenye weredi wa haya mambo si vibaya wakatupa somo kuhusu yote yahusuyo freemasons.

NB:Mimi nilichoweza kumjibu,nilimwambia inawezekana wapo kwa sababu wana jumba lao (pichani) lilipo barabara ya Sokoine Drive

No comments: