Friday, October 17, 2008

Ajali tena hapa
BAsi la rombo kwa jina la meridian Express ilikwama kwa muda katika purukushani za kutafuta njia hasa baada ya vijana wa eneo hilo kujitolea kutengeneza njia ya muda na kutoza 2000/= kwa magari madogo na makubwa 4000/=. Ila biashara yao ilikwamishwa na na mvua kubwa iliyonyesha kwa dakika 45 siku hiyo ya jumamosi.
Baada ya meridian Express kutoka pale ilipokwama na mengineyo yalifuata njia kuelekea na safari katika njia husika mfano Tanga, Arusha , Rombo nk.



Picha juu zikionyesha Mt. kilimanjaro kutoka njia kuu ya Moshi - Arusha kama ilivyochukuliwa na mdau wakati akiwa boma Ngombe na Moshi mjini .

No comments: