Saturday, October 18, 2008

shindano la kumtafuta mrembo mwenye mvuto wa kimahaba


Pichani juu ni moja ya mastaa 20 wa kike waliotajwa kuingia ndani ya shindano la kumtafuta Mrembo wa Ijumaa mwenye mvuto zaidi wa kimahaba (Ijumaa Sexiest Girl) ambalo tayari limeanza kuwashtua mashabiki wengi ambao wamekuwa wakilifuatilia tangu lilipoanzishwa miaka miwili iliyopita.kwa habari zaidi bofya abdallahmrisho.blogspot.com

No comments: