AH, SHIDA YA NINI....
jamani hii kiboko ila jamaa anasafiri kutoka sehemu moja kwenda nyingine ila kikubwa usalama wake mdogo na haya mambo utayakuta zaidi dunia ya tatu ambayo hatushangai sana ila nchi zilizoendelea hakuna mambo kama haya asanteBro michuzi kwa picha hii tamu .
No comments:
Post a Comment