Wednesday, October 8, 2008

Mkono Kwa Mkono Na Obama



Wakili maarufu na Mbunge wa Musoma (V) Nimrod Mkono akisalimiana na Mgombea Urais wa Marekani toka chama cha Democrats Senator Barack Obama hivi karibuni huko Marekani.
Picha kwa Hisani Ya BongoPix

No comments: