Wednesday, October 8, 2008

Mbowe Ndani Ya Tarime

Mwenyekiti wa Chadema Bwn.Freeman Mbowe Yuko Mkoani Tarime,Kama uonavyo pichani akihutubia mkutano wa hadhara baada ya kuwasili mkoani huko kutoa Dar es salaam hapo jana...
Picha kwa Hisani Ya Mussa Juma/Mzee Wa Mshitu

No comments: