Wednesday, October 8, 2008

Rais Jakaya Kikwete Atimiza Miaka 58 Jana ...


Jk akikata keki ya siku yake ya kuzaliwa jana ikulu !!

Rais JK akimlisha keki mtoto Mohamed wakati wa hafla fupi ya kusherekea miaka 58 ya kuzaliwa kwake iliyoandaliwa na wafanyakazi wa ikulu ya Dar es Salaam jana.
Mtoto Mohamed ni yatima ambaye Rais Kikwete na Mkewe Mama Salma wanamlea katika familia yao.


Katibu mkuu ikulu Bwana Michael Mwanda akimpa kadi ya Birthday Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa niaba ya ya wafanayakazi wa ikulu wakati wa hafla fupi ya kumpongeza Rais Kikwete kwa kutimiza miaka 58 jana.
Picha Kwa Hisani Ya Freddy Maro/Ikulu

No comments: