Inawezekana !!!!!
Jiamini unaweza na ufanye unachoamini!!
Wednesday, October 1, 2008
TARIME KUMEKUCHA
Wasafirishaji wa tarime (Taxi ama Bodaboda ukweni kwetu) wakiwa pembeni ya kibao kinachouliza 'Chacha umetuachia nani?' hii nadhani kwakuw akila chama kinadai Chacha wangwe aliwaachia jimbo hilo sijui kuna kijiti kama kwenye riadha?
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment