
Fundi ujenzi Maulidi Mohamed wa kampuni ya Ital Frame akipanga ndoo 55 ikiwa ni njia waliyobuni kuteremsha vifusi toka Ghorofa ya 9 kwenye jengo wanalolijenga la Habour View mtaa wa Samora awali walikuwa wakitimia Mashine lakini haikuwa na ufanisi kama mbinu yao mpya jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment